Kumbe Akili nayo huwa inajificha ikikumbana na mambo magumu au ya aibu?
Umewahi kukutana na mtu ambaye ghafla anaonekana kama "amepotea kwa mawazo" katikati ya mazungumzo, au hata wewe mwenyewe ukajikuta hukumbuki tukio zima lilivyotokea kama vile mwili ulikuwa pale lakini akili…
Je, kurudia rudia kufanya kitu hichohicho kwa muda ni tatizo au umakini?
Mara nyingi, tunajikuta tukirudia matendo fulani kwa makusudi—kama kukagua mlango kwa mara nyingi, kuhesabu vitu, au kusafisha mikono mara kwa mara. Lakini lini tabia hizi zinakuwa dalili ya tatizo la…
“MEN MUST BE STOIC” – (CRYING IS WEAK, DEBUNKING A HARMFUL MYTH)
MYTH:Society often teaches men that expressing emotions—especially sadness or vulnerability—is a sign of weakness.Phrases like “Man up” or “Boys don’t cry” pressure men into emotional silence, reinforcing the false link…
Rewiring Anxiety: How to Calm Your Brain’s False Alarms
Anxiety is your brain's survival mechanism gone haywire. While designed to protect you from real threats, this internal alarm often triggers for everyday stresses - work deadlines, social situations, even…
“Kujiua ni kujitakia au ni Ugonjwa?”(Is Suicide a Personal Choice or a Mental Illness?)
UtanguliziKujiua (suicide) ni jambo linalosikitisha na linalowakumba watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Lakini swali kubwa ni: Je, kujiua ni uchaguzi wa mtu binafsi au ni dalili ya…
