Kumbe Akili nayo huwa inajificha ikikumbana na mambo magumu au ya aibu?
Umewahi kukutana na mtu ambaye ghafla anaonekana kama "amepotea kwa mawazo" katikati ya mazungumzo, au hata wewe mwenyewe ukajikuta hukumbuki tukio zima lilivyotokea kama vile mwili ulikuwa pale lakini akili…
